Music Lyrics

ETHAN MUZIKI – Giza Lyrics

ETHAN MUZIKI - Giza Lyrics
Muwafaq Lee
Published by Muwafaq Lee
ETHAN MUZIKI – Giza Lyrics

ETHAN MUZIKI – Giza Lyrics. He, madem
Acha tu

Kweli akina dada wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza
Woi woi woi woi no no
Story time, Ethan Muziki time

Nikiwa rima, nilipatana na msichana malaika
Mrembo tukiwa pale umoja
Tukitoka shule mikono pamoja

My first crush, we lost touch
High school nikapelekwa ocha
Lakini bado niliwachocha, nikawachota

Kuingia campo
Nikasema nitasoma nitashindaga daro
Asubuhi walevi kwenye mtaro
Anasa na hizo pesa za karo
Na bado nakimbizana na Caro

Silver tongue, nilipatiwanga
Lugha lazima angeitana
Bingo, nimeshapata mama
Ako singo, lakini condition

Anataka attention, anataka vacation
Me niko na noti ya leo mbaka kesho
Attention, tena vacation
Hawezi Kuwa naughty bila compensation

Kweli akina dada wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza
Kweli akina dada wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza

Akina dada
Giza
Nilikosea

Nika-tarmac tarmac after campo
Tafuta job acha story za warembo
Oh no, it was never easy
Hauwezi sample, wote umalize

I met so many ladies
Tukakunywa pesa za deni
Kama hausafishi nyumba
Chunga usiite wageni

Siku nyingi zikapita sana
Kabla penzi ikabisha tena
Huyo dem alinionyesha Mambo
Maisha hainga praco

Dem wako ni wako akiwa kwako
Akitoka anakuzungushaga circle
Sako kwa bako ako na mwenzako
Wanacheza tapo

Anataka attention, anataka vacation
Me niko na noti ya leo mbaka kesho
Attention, tena vacation
Hawezi Kuwa naughty bila compensation

Kweli akina dada, wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza
Kweli akina dada, wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza

Akina dada
Giza
Nilikosea
Labda wanalipiza

(Woi woi woi ona)
Simu siku hizi ndio adui
Chunga usichizi vitu hujui
Ndio maana siku hizi mi sikagui
Nilishafundisha
Utazungushwa sana

Kweli akina dada wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza
Kweli akina dada wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza
Kweli akina dada wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza

The Akwaboahs – Awerekyekyere (Remix) (Father & Son)

Source

What’s your Reaction?
+1
0
+1
0
+1
0
+1
0
+1
0
+1
0
+1
0

TRENDING PAGES ON TOPGHANAMUSIC.COM

Download Latest Ghana Music

Download Latest Dagbani Songs

"Download Latest Ghana Music Videos"

Download Music Albums Mp3/Zip

Download Latest "Jamaican Music" in Mp3 Format

"Download Latest DJ Mixtapes"

"VIEW THESE: MUSIC LYRICS"

"CHECK OUT OUR SHOWBIZ CENTRE"

GRAB THESE: LATEST GOSPEL SONGS NOW!

"VISIT HOMEPAGE"

DOWNLOAD: Showboy - Nyame Dada ft. AMG Armani x Kweku Flick (MP3)

TO UPLOAD OR PROMOTE YOUR SONG CALL/ WHATSAPP: +233544196596

Ghana Music || Ghana Music Download || Ghana Songs Download || Download Latest Music || Diana Hamilton mp3 Music || Ghana Gospel mp3 download || Ghana Music Download || Ghana Gospel Music || Naija music || Nigeria music || Mixtape DJs || DJ Mixtape || Ghanaian Music Download

ABOUT ME

Muwafaq Lee

Muwafaq Lee

Call Me Muwafaq Lee | TheBoss | Nigerian Ghanaian Blogger | Graphics & Web Designer | Music Critic | Music Publisher & SEO Expert. MUSIC IS MY LIFE!

Share via
Copy link
Powered by Social Snap